green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,340
- 35,890
Watu wa ajabu kweliAcha wamalizane hawana kazi za kufanya.
Eti yemen hadi Israeli sio mbaliInasemekana Netanyau hataki vita mpya, anataka kudeal na Hezbollah na Hamas. ila amewaambia wamarekani waingilie kati, kama hawataingilia kati, yeye ataenda kuwapiga. toka Yemen hadi Israel wala sio mbali.
kama unajua ramani, wewe umeona ni mbali?Eti yemen hadi Israeli sio mbali
Iran ilisema vita vitasambaa middle eastKama ni kweli,hii vita itaanza kusambaa...
Unavuka saudia ndiyo ufike yemenInasemekana Netanyau hataki vita mpya, anataka kudeal na Hezbollah na Hamas. ila amewaambia wamarekani waingilie kati, kama hawataingilia kati, yeye ataenda kuwapiga. toka Yemen hadi Israel wala sio mbali.
Ukimuona Simba mjini,ujue yupo anaemfuga.wanatafuta kila namna ili wapigwe, ili dunia ianze kuandamana na kusema ceasefire.
Polewanatafuta kila namna ili wapigwe, ili dunia ianze kuandamana na kusema ceasefire.
Kusambaa kwa hii vita nisuala la muda tu kwakweliKama ni kweli,hii vita itaanza kusambaa...
wanafugwa na Iran, na Iran alitarajia Israel hataingia kabisa Gaza, alitangaza wazi kwamba endapo Israel wangeingia Gaza basi watakuwa makaburi ya gaza. ameshangaa pamoja na mahandaki yote na makomandoo aliowatrain kwa miaka mingi, Israel ameingia na watu wanasalenda na vichupi. alianza kuhangaika kwa kuwatumia Hezbollah, Israel akawa anajibu mapigo makubwa sana Lebanon hadi jamaa hawataki kurusha rocket tena, manake wao wakirusha roket israel anajua majengo yao kule Lebanon, alikuwa anafuta mtaa mzima kimya kimya. wamestop. ila lengo lilikuwa kumkeep busy Israel na Hezbollah na Hurthi ili apunguze operation yake GAZA. Na israel kwasababu alilijua hilo akauchuna tu akaendelea na operation yake Gaza kwanza ila hata Yemen wapo kwenye kiporo, akimalizana na Gaza ana kiporo cha Hezbollah na Hurthi. hao lazima wafutwe pia. hawezi kufuta Hamas akaendelea kuishi na Hezbollah, atakuwa hajafuta threat yeyote.Ukimuona Simba mjini,ujue yupo anaemfuga.
Poleni sanawanatafuta kila namna ili wapigwe, ili dunia ianze kuandamana na kusema ceasefire.
Kwani sio kweli kwamba ghaza ni makaburi ya wazayuniwanafugwa na Iran, na Iran alitarajia Israel hataingia kabisa Gaza, alitangaza wazi kwamba endapo Israel wangeingia Gaza basi watakuwa makaburi ya gaza. ameshangaa pamoja na mahandaki yote na makomandoo aliowatrain kwa miaka mingi, Israel ameingia na watu wanasalenda na vichupi. alianza kuhangaika kwa kuwatumia Hezbollah, Israel akawa anajibu mapigo makubwa sana Lebanon hadi jamaa hawataki kurusha rocket tena, manake wao wakirusha roket israel anajua majengo yao kule Lebanon, alikuwa anafuta mtaa mzima kimya kimya. wamestop. ila lengo lilikuwa kumkeep busy Israel na Hezbollah na Hurthi ili apunguze operation yake GAZA. Na israel kwasababu alilijua hilo akauchuna tu akaendelea na operation yake Gaza kwanza ila hata Yemen wapo kwenye kiporo, akimalizana na Gaza ana kiporo cha Hezbollah na Hurthi. hao lazima wafutwe pia. hawezi kufuta Hamas akaendelea kuishi na Hezbollah, atakuwa hajafuta threat yeyote.
Marekani haogopi kuingia vitani kwasababu nyengine yeyote, ila kwasababu anajiandaa kwa uchaguzi, na akilazimika ataingia tu vitani kwasababu hata pale middle east ana washirika wengi. hao hurthi ni maadui wakubwa wa Saudi Arabia, na Iran imekuwa ikiwatumia hurthi kumpiga saudia. walisharusha hadi hizo rocket hadi saudia mara nyingi. hivyo hivyo kwa Qatar, ni adui yao. akiamua kuingia vita na hao ataungwa mkono na saudia na nchi za kisuni zote. hao jamaa ni muda tu, watafutwa, though dunia inaangalia kwa jicho la pini na wao wanatake hilo kama advantage, nchini yemen vita imesababisha watu wanaishi kama panya, utapiamlo ule wa ethiopia, somalia na sudani kusini miaka ileee ambapo watoto wamebaki mifupa tu, ndio unaotafuta watoto wa Yemen sasaivi, Iran yupo tayari kutumia waarabu wafe kwa njaa, watoto wateseke na mazingira magumu ila yeye atimize lengo lake la kuisumbua Israel. ajabu yake, watoto wa Iran na watoto wa Israel wanaendelea na maisha.Poleni sana
Marekani hathubutu kuingia vitani kwasasa
Maana anajua hilo litapelekea lile anguko lale la puuuu
Ila sasa atalazimishwa kumtetea mtoto wa dada ake ikibidi
Nahapo ndio itakua watu washamaliza mchezo wao
Houthi kundi teule
wala sio makaburi ya wazayuni, wanajeshi wa israel waliokufa GAza hadi leo ni 80, ila HAMAS hawahesabiki. na wanachukuliwa wanaenda kuzikwa kwao israel. pia, fikirieni Iran anachofanya, badala ya kusaidia waarabu na wasuni wenzenu, anawatumia kama zana ya ugomvi na israel.Kwani sio kweli kwamba ghaza ni makaburi ya wazayuni
Kama kashindwa kuifuta hamas mwezi wa tatu uleeee ataweza Hizbullah
Hizbullah walimpa kipigo mwaka 2006 hatamani hata kuingia nao vitani
Anajua tu kama atapotea ile jumla jamala yaani