Houses & Plots For Sale in Dar es Salaam

Mar 25, 2021
42
12
Nyumba Inauzwa Mikocheni
Bei: Tshs 800 Milioni
Ukubwa wa Kiwanja: 570 Sqm
Kiwanja Kimepimwa na Hati Safi ipo

Nyumba ina Vyumba 5, Vyumba 3 ni Selfcontained.
Tuwasiliane: 0716442950
IMG11.jpg
IMG2.jpg
IMG6.jpg
IMG3.jpg
IMG7.jpg
IMG8.jpg
IMG9.jpg
 
Kiwanja Kinauzwa
Ukubwa: 800 Sqm
Eneo: MbeziBeach
Mahali: Mita 400 Kutoka barabara ya bagamoyo.

Bei: Tshs Milioni 80
Eneo limepimwa
Document zote zipo

Contact Us: 0716442950
IMG_20210428_140620.jpg
 
Nyumba ya Gorofa Inauzwa MbeziBeach, Mita 300 Kutoka Baharini.
Ukubwa wa Kilawanja: 1200 Sqm
Kiwanja Kimepimwa, Kina hati safi
Bei: Tshs 500 Milioni

Nyumba ina Vyumba Vinne, Chumba kimoja ni Self-contained.

Tuwasiliane: 0716442950
IMG_20210430_135956.jpg
IMG_20210430_140056.jpg
 
Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa
Mahali: Goba Mtambani.
Mita 300 Kutoka barabara ya lami
Viwanja vimepimwa, hati ipo.

Bei: Tshs 40,000 kwa 1 Sqm
Yaani :-
Mita 20×20 Sawa na Tshs 16 Milioni.
Mita 30×20 Sawa ns Tshs 24 Milioni

Karibu tukuhudumie: 0716442950



IMG_20210502_160415.jpg
 
Maeneo yanauzwa
Mahali: Kawe, Masai
Mita 100 Kutoka barabara ya lami

Eneo nambari 1.

Ukubwa wa Kiwanja: Mita 20 × 15
Bei: Tshs Milioni 80
Document zote zipo

Eneo nambari 2.

Ukubwa wa Kiwanja: Mita 25 × 20
Bei: Tshs Milioni 90
Document zote zipo

Tuwasiliane: 0716442950
IMG_20210430_162358.jpg
 
Kiwanja Kilichopimwa Kinauzwa

Mahali: MbeziBeach Makonde
Kipo umbali wa dakika 3 kwa kutembea kwa miguu kutoka barabara ya lami ya bagamoyo.

Kiwanja Kimepimwa na kina hati safi.
Ukubwa wa kiwanja ni 400 Sqm

Bei ni Tshs 70 Milioni

Karibu Sana: 0716442950
IMG-20210506-WA0000.jpg
 
Kiwanja Kilichopimwa Kinauzwa
Mahali: MbeziBeach njia ya Goba, Kwa John Bula
Ukubwa wa Kiwanja: Eka moja
Nyaraka za Kiwanja: Hati Safi
Bei: Tshs 160 Milioni

Kiwanja ni cha pili kutoka barabara ya lami ya Mbezibeach/Goba. Kiwanja ni kizuri kwa biashara na Makazi pia.

Karibu : 0716442950
IMG8.jpg
IMG6.jpg
 
Kwa sie tunaokaribia kustaafu, hicho cha Mbezi Beach njia ya Goba ndo kiwanja sasa!!!

Pamoja na nyumba, lakini unajitengenezea na orchard kabisa ya kuifanya nyumba iwe kati kati ya "msitu"! Bora nijenge nyumba ya kawaida lakini niwe nimezungukwa na green land!

Sema tatizo hayo mafao yangu sijui kama yatafika hata hiyo 20M!
 
Kiwanja Kilichopimwa Kinauzwa
Mahali: Mbezibeach Salasala, kwa Mbowe
Nyaraka za Kiwanja: Hati Safi
Ukubwa: 974Sqm- Bei: Tshs 90 Milioni
1167sqm - Bei Tshs 140 Milioni

Kiwanja kipo mita 50 kutoka barabara ya lami. Kiwanja ni kizuri kwa biashara na Makazi pia.

Karibu : 0716442950

View attachment 1778984
 
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA
MAHALI: GOBA KINZUDI
UKUBWA: 1200 SQM
BEI: 30 MILIONI

Kiwanja Kizuri sana kipo kwenye mtaa wa mzuri wenye nyumba nzuri zilizopangwa vizuri, ukiwa na barabara nzuri pamoja na huduma ya maji ya dawasa na umeme wa tanesco upo.

Kiwanja kipo Goba Kinzudi, nusu kilomita kutoka Salasala mwisho wa lami.

Kiwanja kimepimwa na kina hati safi. Kiwanja kinauzwa kwa bei ya ofa wahi usichelewe.

Karibu Tukuhudumie: 0716442950
IMG_20210510_084553.jpg
 
VINAUZWA VIWANJA VILIVYOPIMWA
MAHALI: GOBA KULANGWA
UELEKEO: UMBALI WA KILOMITA TATU KUTOKA BARABARA YA LAMI MPYA YA NJIA NNE KWENDA MADALE
BEI: TSHS 30,000 KWA 1SQM
~ 400SQM - TSHS 12M,
~ 600SQM - TSHS 18M n.k

KARIBU GOBA : 0716442950
IMG_20210511_133842.jpg
IMG_20210511_133840.jpg
 
INAUZWA NYUMBA YA GOROFA
MAHALI: MbeziBeach, Barabara ya Chini.
UKUBWA WA KIWANJA: 1600 Sqm
NYARAKA: Hati Safi
BEI: Tshs 500 Milioni [ Inapungua ]


Karibu ndugu yangu : 0716442950
IMG_20210512_164003.jpg
IMG_20210512_164010.jpg
 
KINAUZWA KIWANJA
Kiwanja cha pili kutoka baharini.

MAHALI: MbeziBeach, Barabara ya Chini.
UKUBWA WA KIWANJA: 2000 Sqm
NYARAKA: Hati Safi
BEI: Tshs 500 Milioni [ Inapungua ]

Karibu ndugu yangu : 0716442950
IMG_20210512_181602.jpg
IMG_20210512_181825.jpg
IMG_20210512_180549.jpg
IMG_20210512_181846.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom