Houseboy natafuta kazi

Mhuuuu ukiajir house boy lbda umuhas other wise uwe huna watoto wa kike waliobalehe
 
Kwani wahaya nao hufanyaga kazi za ndani??????
 
kweli bongo soko la ajira linatisha hadi watafuta kazi za ndani wanakaa bench??????????
 
uhouseboy nimekosa..............over!!!!!!.........nimepata dili nono kama freelance programmer........naona canada hiyooooo inaniiita.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…