rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 130
Kama ni house boy,hata mimi ninaweza kumuajiri, angekuwa Housegirl nisingemchukuanenda kwenye hotel za kitalii
nenda kwenye hotel za kitalii
mkuu umejaribu option nyingine zimeshindikana??..au unamahaba na hiyo kazi?
Hapo kwenye red hapo!Habari wanaJF,
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 24. Natafuta kazi ya houseboy/ housekeeping hapahapa Dar es salaam. I am fluent in English, Swahili, Haya, a little Arabic and am planning to learn Chinese.
Niko vizuri kwenye mapishi na madikodiko. Just send me a pm if you are intersested in hring me or contact me via 0654262419.
Hapo kwenye red hapo!
mr bigurube umeona eeh.........na hapo bado kichina 2Yeah hii ndio thamani ya Sisi wahaya. Hata house boy ni full ung'eng'e...tofauti kabisa na makabila mengine!
wakuu ina maana siku hizi hamuajiri ma houseboy................sijapata offer hata moja tangu jana.....au cv mbovu????????
hahaha.............mi sio sharo wala nini ni kazi kwa kwenda mbele.....................wasiogope!!!!!Labda wameogopa HB sharo, full i-pad etc mshahara utataka 200k, af mambo ya kidumu!!!
Yeah hii ndio thamani ya Sisi wahaya. Hata house boy ni full ung'eng'e...tofauti kabisa na makabila mengine!
Wahaya mna mbwembwe sana..mtu mwenye degree na aliyeishia primary unaweza ushindwe kuwatofautisha
Wahaya mna mbwembwe sana..mtu mwenye degree na aliyeishia primary unaweza ushindwe kuwatofautisha
mr bigurube we hutaki house boy.......niajiri nikupikie breakfast ya bigurube na nkonjwa plus njoge with fried eggs.....teh teh tehMhaya wa darasa la7 na mtu mwingine wa degree wa kabila lingine, huyu wa std7 atakuwa manager, wa degree atakuwa karani....
Ndivyo tulivyo!:sly:
mr bigurube we hutaki house boy.......niajiri nikupikie breakfast ya bigurube na nkonjwa plus njoge with fried eggs.....teh teh teh