Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
Naona wanaangalia nyumba za mafisadi sasa Oysterbay.[/QUOTE
Hawa wazungu wangejua hizi hela zilizojenga hizi nyumba zilikotoka !!!
Jamaa wanalalamika rent 5500.00 USD per month, na inabidi ulipe kodi ya mwaka mzima ??!!!
Only in Tanzania.
Umeona eeeh?
Yaani mimi hiyo ya lazima kulipa kodi ya pango kwa mwaka mzima kwa mkupuo haiingii akilini kabisa.
Kuna ma-real estate agent wazungu bongo? i wonder if they are paying taxes !
kumbe ni TZ only?
Huyo realtor mbona kama Mhindi....
Naona wanaangalia nyumba za mafisadi sasa Oysterbay.[/QUOTE
Hawa wazungu wangejua hizi hela zilizojenga hizi nyumba zilikotoka !!!
Nyumba za mafisaidi unazijua? Siyo kila mtu mwenye nyumba uzunguni fisadi. Usianze kashfa.
Umeona eeeh?
Yaani mimi hiyo ya lazima kulipa kodi ya pango kwa mwaka mzima kwa mkupuo haiingii akilini kabisa.
Wewe ni broke azz ndiyo maana kodi ya mwaka imekushtua. Ni mambo ya kawaida sana tuu hayo na watu waliokaa vizuri hawalalamiki. Nyie ni wabeba maboksi mnaosubiri cheki ili mpange bajeti na haya mambo hamyawezi. Wanaopanga nyumba hizi ni watu ambao wana housing allowance, wana hela zao benki za kulipa renti ya mwaka mzima. Nyie watumwa wa wazungu nyumba kama hizi mtazisikia hewani tuu. Kalagha bao.
Try hulu.tvi checked the link lakini hakuna video
anyone?
Nyumba za mafisaidi unazijua? Siyo kila mtu mwenye nyumba uzunguni fisadi. Usianze kashfa.
Nyumba za Oysterbay zilikua za serikali, waliuziana mafisadi kwa kifisadi bila kutangaza tenda, kwa wafaidika wa ufisadi huu hawawezi kuona kama ni ufisadi.
Nyumba za Oysterbay zilikua za serikali, waliuziana mafisadi kwa kifisadi bila kutangaza tenda, kwa wafaidika wa ufisadi huu hawawezi kuona kama ni ufisadi.
Wewe ulikuwepo walivyouziana? Au wewe ni wakili wao?