Jamaa aliagiza house girl akaletewa kutoka Iringa kufika nyumbani akawa anafundishwa mazingira siku moja Baba mwenye nyumba alipo maliza kula chakula cha mchana akawa anatafuta Toothpick akawa hazioni akauliza hivi humu ndani toothpick mnazila??mbona juzi tu nimeleta nyingi zimeisha mara hii??House girl akajitetea"BABA MIMI NIKITUMIA HUWAGA NARUDISHIA KWENYE KACHUPA KAKE!ILA WAAKINA SELE NA JOHN WAO WAKITUMIAGA WANATUPA!!"Saa nyingine naokotaga walivyovitupa narudishia ndo maana hata hizi ulizotumia umezikuta!!!!
Sijui tutamuenzi kwa lipi hayati Mwalimu Nyerere maana Ufisadi ndo huo meshika kasi, udharimu kwa wananchi nao haushikiki, Ukabila nao unaonekana kurudi licha ya kufanya juhudi za makusudi kuuondoa.... MWALIMU MBONA WATU WAKO HAWAKUENZI KWA YAKO MAZURI ULIYOTUACHIA!!!

We ni kabila gani?? Iringa kuna watani zetu.Sijui tutamuenzi kwa lipi hayati Mwalimu Nyerere maana Ufisadi ndo huo meshika kasi, udharimu kwa wananchi nao haushikiki, Ukabila nao unaonekana kurudi licha ya kufanya juhudi za makusudi kuuondoa.... MWALIMU MBONA WATU WAKO HAWAKUENZI KWA YAKO MAZURI ULIYOTUACHIA!!!