House for sale

Touch screen inaweza kukuumbua. Mi kuna siku nilikuwa namuandikia shem wangu msg nikitaka kumuomba aje hom, badala ya j nikagusa k... msg ikasomeka "naomba uke mara moja".
Niliogopa maana ingekuwa mama mkwe...
Ha ha haaa, umenifurahisha sana mkuu Tuko,sijacheka kama nilivyocheka leo siku nyingi.Ndo maana sipendi kutumia touch.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, wakati mwingine yanatokea hayo makosa, siyomowa sababu ya lugha nami huwa nayaachaga tu yaendage hivo hivo!
 
Touch screen inaweza kukuumbua. Mi kuna siku nilikuwa namuandikia shem wangu msg nikitaka kumuomba aje hom, badala ya j nikagusa k... msg ikasomeka "naomba uke mara moja".
Niliogopa maana ingekuwa mama mkwe...
Ha ha ha...You made my day, dude!. Kama ni kwa Mama mkwe, hapo utatamani ardhi ipasuke ikumezelee mbali!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom