Unafanya utani, si ndio? JAribu kuwa serious, hiyo nyumba ina tatizo gani hadi iuzwe bei hiyo?
Unafanya utani, si ndio? JAribu kuwa serious, hiyo nyumba ina tatizo gani hadi iuzwe bei hiyo?
HIi ni kipindi ikiezekwa, kabla ya kuwekewa grill na weldingView attachment 83609
Mwana mie magu napajua, unaweza sema ipo mitaa gani?, na pia hiyo nyumba halipo ilishakamilika au kuna baadhi (yaan finishing) ya sehemu hazijaisha?. Hebu nipe details kidogo nione kama tunaweza fanya biashara mkubwa.
Duh!mashikoro mageni!welding ni zile drill za milango na madirisha.kaa mkao mzuri tuongee biashara