House for rent

House for rent

unazungukazunguka tu sema bei laki sita mtu akija akapaona panafaa atakupa hata laki saba akiona haendani na ulichosema ndipo maelewano sasa unashindwa nini kutoa bei elekezi
Neo ipo kwenye tangazo! Laki nane
 
Nimeweka kila kitu ndugu
Bei
Mahali ilipo
No za vyumba
Kuna umeme, maji
Parking nk
Wapi umeweka bei unajiumauma au nyumba ina mizimu unataka mtu akufate huko mmalizane akutane na vibwengo?nyumba kama ya kuabdia mashetani haina mwonekano wa nyumba inayoishi watu hapana bwana weka bei.
 
Acha roho mbaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom