House for rent, tabata mwananchi one master and three bedrooms parking space of more than five cars water and electricity are availableView attachment 685588 View attachment 685594
Ina nini cha kufanya ipangishwe kwa hiyo Million 1??House for rent, tabata mwananchi. One master and three bedrooms. Parking space of more than five cars. Water and electricity are availableView attachment 685588 View attachment 685594
Heeeee hapo panajaaa maji mvua ikinyesha bro, hunipatiiHouse for rent, tabata mwananchi. One master and three bedrooms. Parking space of more than five cars. Water and electricity are availableView attachment 685588 View attachment 685594
Unaishi nje au ndani?Si mkarabati kwanza ndipo mpangishe? Kwa picha tu inaonekana hivyo je ukiisogelea Karibu?
Bei maelewano, nitafute kwenye no yangubei hadi ufatwe pm?
Bei maelewano, ndio mmilikiWeka bei ,pia eleza kama wewe ndio mmiliki au dalali
Ukarabati gani unaotaka ww?Si mkarabati kwanza ndipo mpangishe? Kwa picha tu inaonekana hivyo je ukiisogelea Karibu?
Bei maelewanoPrice please
Hapajai maji, barabara imetengenezwa mwezi huu. Kuna caravatsHeeeee hapo panajaaa maji mvua ikinyesha bro, hunipatii
Bei maelewano, ndio mmiliki
Ukiiona ndani ukaipenda/kama unahitaji tutaelewana bei. Ndio nilichomànisha. Au nitafute kwenye no yangu kama unahitajiBei maelewAno ndio shilingi ngapi??
Itafaa sanaMimi nina maelewano mbili hivi za kitanzania sijui inakufaa
Mmh kwanini usitoe bei kupitia hiyo bei elekezi maelewano yakafanyika?Ukiiona ndani ukaipenda/kama unahitaji tutaelewana bei. Ndio nilichomànisha. Au nitafute kwenye no yangu kama unahitaji
unazungukazunguka tu sema bei laki sita mtu akija akapaona panafaa atakupa hata laki saba akiona haendani na ulichosema ndipo maelewano sasa unashindwa nini kutoa bei elekeziUkiiona ndani ukaipenda/kama unahitaji tutaelewana bei. Ndio nilichomànisha. Au nitafute kwenye no yangu kama unahitaji