House for rent/nyumba inapangishwa

House for rent/nyumba inapangishwa

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
HOUSE FOR RENT - MBEZI KIMARA DAR ES SALAAM
  • 4 Rooms where 1 room is a master
  • 1 Dining room
  • 1 Sitting room
  • 1 Kitchen with cabinets & granite countertop
  • 3 Toilets
  • Built in garage
  • Fenced
  • Parking space where up to 6 cars can be parked at once

LOCATION: Mji mpya Mbezi luis 800m from morogoro road
RENT: 750,000/= Tsh Per month (negotiable)
CONTACT: +255769142586 Call/SMS/Whatsapp

SWAHILI:
NYUMBA INAPANGISHWA - MBEZI YA KIMARA
Nyumba ina:
  • Vyumba 4 ambapo kimoja ni Master
  • Sebule ya kupumzika 1
  • Sebule ya chakula 1
  • Jiko 1
  • Choo 3
  • Gereji
  • Imezungushiwa Uzio
  • Ina eneo kubwa la uwanja ambapo unaweza kuegesha hadi magari 6

MAHALI ILIPO: Mji mpya Mbezi Luis mita 800 kutoka barabara ya morogoro
KODI: 750,000/= Tsh kwa mwezi (bei inazungumzika/inashuka)
Mawasiliano: +255769142586 unaweza kupiga, kutuma ujumbe au kuni-whatsapp
 
Attachments

  • IMG-20140625-WA0000.jpg
    IMG-20140625-WA0000.jpg
    70.2 KB · Views: 299
  • IMG-20140625-WA0001.jpg
    IMG-20140625-WA0001.jpg
    46.2 KB · Views: 291
  • IMG-20140625-WA0002.jpg
    IMG-20140625-WA0002.jpg
    48.8 KB · Views: 280
  • IMG-20140625-WA0003.jpg
    IMG-20140625-WA0003.jpg
    79.3 KB · Views: 276
  • IMG-20140625-WA0004.jpg
    IMG-20140625-WA0004.jpg
    72.9 KB · Views: 278
  • IMG-20140625-WA0005.jpg
    IMG-20140625-WA0005.jpg
    73.9 KB · Views: 262
  • IMG-20140625-WA0006.jpg
    IMG-20140625-WA0006.jpg
    57.1 KB · Views: 281
  • Morogoro Road_Manzese-may20-2013.jpg
    Morogoro Road_Manzese-may20-2013.jpg
    20.4 KB · Views: 286
  • Dar-es-Salaam-Rapid-Transit.jpg
    Dar-es-Salaam-Rapid-Transit.jpg
    21.5 KB · Views: 555
HOUSE FOR RENT - MBEZI KIMARA DAR ES SALAAM
  • 4 Rooms where 1 room is a master
  • 1 Dining room
  • 1 Sitting room
  • 1 Kitchen with cabinets & granite countertop
  • 3 Toilets
  • Built in garage
  • Fenced
  • Parking space where up to 6 cars can be parked at once

LOCATION: Mji mpya Mbezi luis 800m from morogoro road
RENT: 750,000/= Tsh Per month (negotiable)
CONTACT: +255769142586 Call/SMS/Whatsapp

SWAHILI:
NYUMBA INAPANGISHWA - MBEZI YA KIMARA
Nyumba ina:
  • Vyumba 4 ambapo kimoja ni Master
  • Sebule ya kupumzika 1
  • Sebule ya chakula 1
  • Jiko 1
  • Choo 3
  • Gereji
  • Imezungushiwa Uzio
  • Ina eneo kubwa la uwanja ambapo unaweza kuegesha hadi magari 6

MAHALI ILIPO: Mji mpya Mbezi Luis mita 800 kutoka barabara ya morogoro
KODI: 750,000/= Tsh kwa mwezi (bei inazungumzika/inashuka)
Mawasiliano: +255769142586 unaweza kupiga, kutuma ujumbe au kuni-whatsapp

Nyumba nzuri kweli lkn iko sehemu mbaya ingekuwa sinza hii mkuu bye bye umasikini...
 
750,000 *12=9m kwa mwaka. Plus logistic za kufika town, eeeh.

Hii nyumba nzuri sana kwa kweli.
 
Maneno ya hovyo kama haya huwa siyapendi na ingekuwa zamani pale nilipokuwa na hasira sana ninge-report abuse, unaposema sehemu mbaya una maana gani? Sinza ni kuzuri kweli kuliko mbezi? na watu wenye vimaneno maneo kama nyie wala hamuwagi ni wateja. Ila na-note down ID yako tutaonana humu humu
 
attachment.php

Kongosho, Tatizo la foleni mbezi litaisha barabara itakapokamilika hivi karibuni kama uonavyo picha hiyo niliyokuwekea. Isitoshe hata ulaya kuna foleni hakuna nchi isiyo na foleni duniani na uelewe siyo wanaokaa huko wote wanaenda mjini kila siku kwani wengine wana biashara zao huko huko na wengine wanatumia piki piki. JF musipende negativity kila wakati mbona sehemu zingine tukiweka matangazo watu hawana maneno maneno kama hapa?
 
Last edited by a moderator:

mkuu, usichukulie kila kitu personal! hakuna biashara utayofanya ukakosa wakosoaji, nayo ni sehemu ya biashara tu, mtu anatafuta point ya kunegotiate, au mwingine anafanya window shopping tu, simply ignore and move on!
 
Mengine yanakera mkuu, kama hujaipenda we si unapita na zako, sasa mtu anasema mbezi ni sehemu mbaya kwa maana ipi ili hali kule kuna upepo mzuri mwanana na kijani kibichi kingi?, mimi watu kama hao wanaokosoa hata pasipotakiwa kukosolewa nitajuwa mwenyewe namna ya ku-deal nao.
 
mkuu, usichukulie kila kitu personal! hakuna biashara utayofanya ukakosa wakosoaji, nayo ni sehemu ya biashara tu, mtu anatafuta point ya kunegotiate, au mwingine anafanya window shopping tu, simply ignore and move on!

sasa kama kuna foleni ndiyo tusipangishe nyumba huko? inawezekana kweli watu wote dar wakakaa sinza tu? ina make sense hii kweli? na kuna watu nawafuatilia kila post yangu lazima walete negativity wapo nimeshawa-mark
 
Maneno ya hovyo kama haya huwa siyapendi na ingekuwa zamani pale nilipokuwa na hasira sana ninge-report abuse, unaposema sehemu mbaya una maana gani? Sinza ni kuzuri kweli kuliko mbezi? na watu wenye vimaneno maneo kama nyie wala hamuwagi ni wateja. Ila na-note down ID yako tutaonana humu humu

Mbona unapanick mazee,Sinza kuzuri kuliko huko madongo poromoka na unalijua hilo,me mwenyewe nimejenga huko lkn kumenishinda? Mbali usafiri tabu mnapanda milima kama unaenda gonja, maji shida n.k hiyo nyumba ukipata mteja hata wa 500,000 niambie nitakupa mil 1 buree na me unipangishie yangu
 
Sinza kuchafu kunanuka vile na kumebanana vile nani akakae? hiyo milioni unayo au ulishauza zile ps2? nimekutumia friend request nikubalie basi tuwe marafiki. Kumbe ulijenga huko? ilikuwaje ukaenda kujenga huko kubaya? wenye hela watapanga siyo wewe
 
Mambo ya kurithi ndugu yangu hata jangwani unakubali, vyabure gharama, ps2 zimeisha nina ps4 now if u want halla..!
 
Haupo tayari kuwa rafiki na watu usiowajuwa ila upo tayari kuwakera watu usiowajuwa? kuwa mwangalifu

Bwana we usitake kunitisha!sipendi kujaza scum kwenye profile langu anyway nina viwanja kwa yusuph, msumi, makabe mpaka kwa liparanya ukishapangisha hiyo nitafute nikuajiri...
 
Uniajiri kwani umesikia natafuta ajira we mama? Nikubalie tuwe marafiki basi
 
Kila mtu na mapenzi yake kwa kweli, ila binafsi yangu siwezi kukaa sinza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom