House for Rent- Mbweni

Nje ya box

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
241
Reaction score
251
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni $350 kwa mwezi. Kama unahitaji reply hapa.
 
yaani gharama ya kupanga hiyo nyumba kwa mwaka ni sawa na kujenga hivyo vyumba viwili na choo cha kisasa
 
Nani kakuambia unaweza Jenga nyumba kwa milioni 6?
 
yaani gharama ya kupanga hiyo nyumba kwa mwaka ni sawa na kujenga hivyo vyumba viwili na choo cha kisasa

Au siyo, halafu unanunua kiwanja anachouza mshkaji hapo chini kwa laki 7 Gmboto, tofali unafyatua za udongo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…