pendochelsea
Member
- Mar 20, 2017
- 85
- 58
- Thread starter
- #41
okBasi tafuta wateja wengine mkuu
okBasi tafuta wateja wengine mkuu
mimi sio dalali natangaza nyumba inayonihusuNyie madalali wa dodoma Mungu anawaona. yaani zile gest zenu bubu baada ya kukosa watu mmeamua kupangisha, vyumba vidogoooo, pesa ya udalali mnakula ya mwezi na mnapandisha bei zaidi ya anayotaka mwenye nyumba.... mlaaniwe!
mnakadiria vipi matumizi ya umeme ya mtu?hiyo 10000/= ni ya umeme kwa mwezi
mi nalipaga elfu kumi coz nina vitu vingi but ukipenda unaweza lipa Zaidi kama unaona elfu kumi ndogomnakadiria vipi matumizi ya umeme ya mtu?