House for rent…………….. 200,000/= PM

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
With one master bedroom, one bedroom, one toilet/bathroom and one sitting room cum dinning room as well ventilated kitchen and store with water (Dawasco) and Electricity (LUKU).
Is suitable for a young family (with one or two kids).

Ready for occupancy 10 July 2012.

Located at Mandela Road, Mwananchi, Tabata Kisiwani. For more information please call: +255 754 012535 or +255 715 729292
 
Nyumba hii siyo moja kati ya zile zilizokimbiwa na wapangaji wakati ule wa mafurikokweli?? tfadhalini saana wenye nyumba zilizopo kwenye hilo bonde linalotenganisha mwananchi na mtaita msijaribu tena kupangisha nyumba hizo tafadhalini sana nendeni mkaishi huko wenyewe. mimi ni mmoja wa waliokumbwa na yale mafuriko. vifaa vyangu vyote vilisombwa na mafuriko including all my senstive documents. wapangaji chukueni tahadhari.
 
Asante kwa angalizo mkuu. This too is a useful news alert, lol. Ngoja Mtambuzi aka baba Cantalisia aje atufafanulie hapa kabla hatujajitosa
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa angalizo mkuu. This too is a useful news alert, lol. Ngoja Mtambuzi aka baba Cantalisia aje atufafanulie hapa kabla hatujajitosa
Nyumba haiko nyuma ya Mwananchi eneo ambalo lilikumbwa na mafuriko...... nyumba hiyo iko juu kabisa na inapakana na Police Post Tabata, iko kwenye hali nzuri kabisa na hata kama unamuelekeza mtu anafika bila hata kumfuata kituoni.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom