W Willibald Member Apr 10, 2016 24 1 May 30, 2016 #1 Nyumba ya kisasa vyumba 4 self katika eneo zaidi ya sq 2000 inauzwa Ni nzuri sana. Bei mil 250. Title ya 99 years Cont. 0674 338 225
Nyumba ya kisasa vyumba 4 self katika eneo zaidi ya sq 2000 inauzwa Ni nzuri sana. Bei mil 250. Title ya 99 years Cont. 0674 338 225
Man Mvua JF-Expert Member Apr 12, 2016 2,183 3,520 May 31, 2016 #2 Iyo milioni 250 inatutisha mkuu ,halafu Bila hata ya picha.
Njaa JF-Expert Member Dec 6, 2009 1,022 412 May 31, 2016 #3 Milion 250 kwa maelezo ya mstari mmoja? Haha hata muuza samaki angesema sifa za samaki wake