House 4 sale Bunju

House 4 sale Bunju

Willibald

Member
Joined
Apr 10, 2016
Posts
24
Reaction score
1
Nyumba ya kisasa vyumba 4 self katika eneo zaidi ya sq 2000 inauzwa

Ni nzuri sana.

Bei mil 250. Title ya 99 years

Cont. 0674 338 225
 
Iyo milioni 250 inatutisha mkuu ,halafu Bila hata ya picha.
 
Milion 250 kwa maelezo ya mstari mmoja? Haha hata muuza samaki angesema sifa za samaki wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom