Hotuba za Rais Magufuli katika ziara huwa ndo msimamo wa CCM au za Serikali????

yusuphmarcogaga

Senior Member
Jan 5, 2014
145
162
Wana jf.

Najaribu tu kuwaza ivi haya maneno magumu na yenye ukakasi huwa ndo msimamo wa CCM au mh rais anatoa hotuba binafsi au ni hotuba ya serikali. Ikumbukwe kwamba mh. Rais ni mwenyekiti wa CCM akitoa neno anatoa pia kama kiongoz mkuu wa CCM.

Iivi ni sisi ndio tunashindwa kumwelewa mwenyekiti wa CCM au tunapotosha anachukuwa akimaanisha katika mikutano yake. Kwani mwenyekiti wa chama hana kabisa wajibu wa kujenga chama kwa kutumia maneno malaini ya kisiasa ili kuendelea kuaminisha wanachama wake.

Tusaidianeni ili tusiukumu CCM mh rais huwa anasimama kama nani majukwani??
 
Asimamapo huwa anapata kofia zote at the same time
 
Back
Top Bottom