Habari za humu...
Naombeni mnisaidie hotuba nzuri ya kutoa kwenye graduation ya kumaliza kidato cha nne. Hotuba ya mgeni rasmi.
Najua kuna wenye nazo
Asanteni
Sasa hotuba huwa inaenda na Changamoto za eneo husika ina maana nikupe Hotuba ya Ubaruku Secondary School utumie huko shuleni kwako [emoji23] [emoji23] [emoji23].