Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,316
Nimetoka kusikiliza hotuba za mwalimu Nyerere lakini haina tofauti na niliyoisikiliza juzi na jana.Mbona hawabadilishi?
He kumbe ni mwezi sasa sikujua.Inawezekana kweli mhusika yupo maternity.Ninaposikiliza huwa nadhani mpya kumbe ileile 2!
Nimetoka kusikiliza hotuba za mwalimu Nyerere lakini haina tofauti na niliyoisikiliza juzi na jana.Mbona hawabadilishi?
Ndugu yangu hii hotuba inayohusu vita vya kagera sasa inakaribia mwezi kama sio zaidi....
Sijui anayehusika na kitengo ameenda matenity leave.
Nashangaa na ushindani wote uliopo zama hizi kwa vyombo vya habari jamaa bado wapo dunia ya analogia.
Wanakera kwa kweli.