Hotuba ya Rais Samia yatajwa katika hotuba saba bora za Umoja wa Mataifa

Mwandishi ana tatizo la uelewa na uchanganuaji mambo jambo ambalo linamfanya atathmini mambo ktk mtizamo wa kisiasa zaidi kuliko uhalisia.

I can perfectly describe this author as an imbecile out to win favour from the person he/she is unjustifiably exalting.
 
Tunahitaji Tume huru ya Uchaguzi na bila ya kuisahau Katiba mpya iliyokwama pale bungeni kwa CCM,wabunge hewala.
hayo ya hotuba ni yao yanatusaidia nini tulioibiwa Uchaguzi na matokeo ya kubuni.
Tume huru halafu katoweni Hotuba tutawaelewaga.
Kwangu mimi waliiba uchaguzi ili watutese.
 
Upuuzi mtupu
 
Hongera rais wetu kwa kuwemo kwenye saba bora ya hutoaji hotuba kwenye mkutano wa UNGA.

Mleta mada ile hotuba ya rais wa Ghana imeshika namba ngapi?
===
Ni vigezo vipi vilitumika kufanya ranking ya hotuba hizo?

Natanguliza shukrani kwa kwa majibu.
Ili hotuba ya Afrika itoboe lazima izingatie yafuatayo

1.Iwe inaitukuza UN

2.Iwe inaendana na Sera za UN

3. Iwe inakubali unyonge (dependency) kwa mabeberu
 
Ili hotuba ya Afrika itoboe lazima izingatie yafuatayo

1.Iwe inaitukuza UN

2.Iwe inaendana na Sera za UN

3. Iwe inakubali unyonge (dependency) kwa mabeberu
Asante mkuu kwa ufafanuzi. Hata hivyo, nadhani FP walitumia vigezo vingine.
 
Ili ucheke kwa matakwa fulani lazima utekenywe
 
Kuna matatizo ya akili kwa watu hiyo hotuba imebadilisha kitu gani Tanzania? The citizens are complaining they can't breathe, there is no relief, the hope has faded away, confidence has gone and prostration replaced with acute hardships in the society.
 
Nyota ya Rais Samia inazidi kung'aa..hotuba zake za Kiingereza huwa zinavutia kusikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…