sir.JAPHET
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 699
- 133
imenitoa jasho!! je lisemwalo lipo au wanakopi na kupesti notes za bajet?,, mapato na matumizi ofisi ya waziri mkuu utata mtupu,!!,anasema atawaongeza madiwani mishahara sujui kweli? au anafanya maigizo? na kuhusu malipo ya mawakala wa pembejeo wamefanya kazi mwaka jana hawajapewa hela zao mpaka leo,!! Malipo hayajafanyika msim wa kilimo umefika hawana mitaji ya kufanyia kazi,,!! na madaktari ndo hao wamejifungia theatre,, muhas,, sjui hatima yao nni? KIMSINGI SERIKALI INACHAGAMOTO NYINGI MNO ZINGINE INAJITAKIA!! NYINGINE ZINATATULIKA HAIJISKII KUTATUA! CHANGAMOTO NYINGINE NI VIPOLO IMELIMBIKIZZA MATATIZO IANAFANYA VITU NUSU NUSU,, mi naona serikali + ccm imePROVE FAIRULE90%?