Hotels nzuri maili moja Kibaha

Super H

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
1,070
Reaction score
405
Heshima kwenu wadau,

Kesho kunapo majadiliwa nitakuwa na safari ya kwenda mji wa kibaha nikitokea mkoani kwa na sio mwenyeji sana wa maeneo ya Kibaha zaidi ya kupita tu hapo.

Naomba kujuzwa hotels au nyumba nzuri ya kufikia wageni bei 10,000 ~15,000
 
Kwa bei hiyo huwezi kulala hotelini. Unaweza kufikia Amazon, tangini, Ngofi n.k
 
10000-15000 HATA NGOFI hulali, Jipigepige kalale njuweni bhana!!!
 


Nenda Sima Lodge mitaa ya Uyaoni kwa mbele nahisi kuna hiyo bei.Kwani haukupewa Per dierm?? Mbona umejichoka mapema ?
 
Hela yetu haina thamani wakubwa ila hiyo pesa ni nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…