Wasalaam wanabodi. Natarajia kuwepo Arusha kikazi kwa wiki moja, Naomba kusaidiwa kujua ni Hoteli gani nzuri ambayo ipo eneo tulivu, ina parking na ambayo haipo mbali sana na City centre. Bajeti yangu ni 50,000-60,000. Natanguliza shukrani!

Nenda Korona Lodge ipo Njiro ni nzuri zipo mbili hapo hapo na ingine ni Olacity Garden bara bara kwa mrombo ni nzuri hautajutia...parking na safi ingine ya mfaransa mmoja ngoja nikumbuke jina niliwahi peleka wageni huko walitaka midrange Lodge...
Ukitaka kwenda mbugani nicheki www.mothercitysafaris.com