Ndio uende hizo za zamani zamani.Mkuu ina maana 80,000 sio hela? Sitaki kuamini kwamba Bagamoyo nzima siwezi pata lodge kwa bei hiyo!
Zipo nyingi na Bagamoyo hakuna hoteli kali sanaMkuu ina maana 80,000 sio hela? Sitaki kuamini kwamba Bagamoyo nzima siwezi pata lodge kwa bei hiyo!
Kama zanzibar zipo sembuse bagamoyo?50 - 80 utazipata Tabata siyo Bagamoyo...
Kama huna hela kwa nini ujipe taabu???
50 labda kidomole.