Si kila mchangia maada anahusika kama akili yako ilivyo fikiri huwezi jua nimejua vipi ni maoni yangu tu,usimjudge mtu usiye mfahamu,kama ni manager je.
aende nemax kinondoni ..hotel de Maggie kinondoni ..
pia kuna nyingine yaitwa chichi hotel ipo pale kino B...karibu na open university
pia kama yuko njema asogee mpka rhombo view shekilango sinza ....kwa hizo nadhani zitamtosha
Rombo pako poa, kuna moja ipo tandika maghorofani inaitwa kilimanjaro lodge ipo poa sana, bei 15 na 30, hapo ikifika jioni ni magari kibao yanajazana nahisi watu wanasingizia wana overtime job kumbe wapo lodge