Hotel nzuri Dar es Salaam

Wakuu kwema, natokea Dodoma kuja jijini Dar es salaam nipo na familia. Hoteli gani nzuri ya kufikia kwa hapo Dar ikiwa karibu na bahari itapendeza zaidi bei yake iwe 100-150k.
Sikuizi mambo yamekua rahisi fungua mitandao ya hotel utaona. Kama mfano bonyeza hapa hotels in dar es salaam . Utaona hotel nyingi na namba za simu
 
Daaah hapo atafute Kalama afunge macho aifushe chini atakayokuwa ameichoma ruksa aende hiyo hiyo maana si kwa machaguo hayo
 
Apartment pale ni laki moja kwa siku sijuwi kwa sasa wameshusha bei ama wamepandisha
Ina vyumba vingapi kwa familia naona kilo ni cheap sana. Mwenye maelezo naweza kwenda kulala na wana nje ya home walau usiku 2
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…