mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Hi wanajamii.kuna ndugu yangu anaulizia hotel na bei zake maeneo ya mbezi beach.hotel ambayo haiko mbali sana na barabara.
Hapa mitaa ya goigi na shule jirani na shamo tower kuna hotel ni 89000 per night . + breakfast