infantrier
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 343
- 126
Kuna moja iko mjini karibu na nmb bank eneo linaitwa vibandani mi mpya inaitwa city dream in pazuri sana pametulia IPO karibu na dolphin inn
Nanenane ipo upande gani? Yaani upande wa barabara ya wapi Moro -Dar, Moro -Dodoma au Moro- Iringa?Nane nane ziko fresh hususan 88 motel
Nanenane ipo upande gani? Yaani upande wa barabara ya wapi Moro -Dar, Moro -Dodoma au Moro- Iringa?
Kingsway, midland, gwami, hizi zote zipo msamvu..
Ukija mjini kuna toplife, machale, nashera, morogoro hotel, hizo hapo zinakutosha
usisumbuke mkuu, hapa mjini ipo moja inaitwa kaumba lodge!! huduma zote muhimu kwa wagen zipo yaan huduma zoote!! karibu sana
hataushau mji, ataondoka na furaha tele.
Mara ya mwisho kwenda Moro nililala Usambara sa sijui kama bado ipo? Ni mita chache kabla hujafika msamvu.