AiseeAjabu ni kwamba janaume kubwa na midevu na minywele makalioni linamsujudu mtu kama huyu kwamba ni mkombozi wake. ....
Kuna watu wanatakiwa kupimwa akili zao
Miguu imekomaa kama dume.
Miguu imekomaa kama dume.
Kuna vitu akishauri ana kuwa yuko Sawa vingine ni pumba tu, huyo hawezi kuwa mkombozi bali mzungumzaji.Unamtukana mkombozi wa wenzako?
Kumbuka watu wazma walikuwa wanampelekea shida zao
Ndiyo mkuu,anakomboa sana matatizo ya NYEGEZI hayamsumbui kabisa. Yuko vizuri.Ajabu ni kwamba janaume kubwa na midevu na minywele makalioni linamsujudu mtu kama huyu kwamba ni mkombozi wake. ....
Kuna watu wanatakiwa kupimwa akili zao
Dahh.. umejuaje?Miguu imekomaa kama dume.
Hahahaaa. Wenyewe huwa wanasema "Da Mange kasemaje kwani huko" Khaaaa.Ajabu ni kwamba janaume kubwa na midevu na minywele makalioni linamsujudu mtu kama huyu kwamba ni mkombozi wake. ....
Kuna watu wanatakiwa kupimwa akili zao
HahahaaaaaHahahaaa. Wenyewe huwa wanasema "Da Mange kasemaje kwani huko" Khaaaa.
Hapo jitu zima hilo ndo linasema hivyo. Teh teh. Huwa nashindwa kuwashangaa hata mie.
Shida ni uanamke wake au tabia zake ambazo wewe huzipendi!?Ajabu ni kwamba janaume kubwa na midevu na minywele makalioni linamsujudu mtu kama huyu kwamba ni mkombozi wake. ....
Kuna watu wanatakiwa kupimwa akili zao
Katika kila jambo wapo watakao kupenda na wapo wasiokupenda. Mtazamo wako na dharau zako juu ya huyu mwanamke haufanyi watu wakamkashifu au kumdharauAjabu ni kwamba janaume kubwa na midevu na minywele makalioni linamsujudu mtu kama huyu kwamba ni mkombozi wake. ....
Kuna watu wanatakiwa kupimwa akili zao
Endelea kumuabudu mama atakukomboa sana hata kwa mme wakoKatika kila jambo wapo watakao kupenda na wapo wasiokupenda. Mtazamo wako na dharau zako juu ya huyu mwanamke haufanyi watu wakamkashifu au kumdharau
Shida ni uanamke wake au tabia zake ambazo wewe huzipendi!?
Ok shida zipelekwe kwa binti ccm au! Kwangu mimi yoyote anayeipinga ccm ni mkombozi, na kila anayeikumbatia ccm ni adui yangu.
Sasa ccm wana kampeni ya Binti ccm, ni ulozi haswa
Akili zako ni ndogo sanaEndelea kumuabudu mama atakukomboa sana hata kwa mme wako