Hahahahaha hata hivyo czani ki uhalisi kama kuna mwanamke mwenye akili timamu akawa so simple ki hivyo kama kina rahma.mama fatty, madam zena na Recho, madam Mary na rukia, nk.hao ni wanawake walio katika ulimwengu Wa kufikirika tu!
Ingawa hi story ni tanga raha lakini punguza kidogo mikasa wa kugongana gongana inaondoa uhalisia fulani,sasa huyo eddy leo katupia kesho anatupia kesho kutwa napo anatupia sa zngne kwa siku mara 2 amekuwa 'kuku'
Hahahahaha hata hivyo czani ki uhalisi kama kuna mwanamke mwenye akili timamu akawa so simple ki hivyo kama kina rahma.mama fatty, madam zena na Recho, madam Mary na rukia, nk.hao ni wanawake walio katika ulimwengu Wa kufikirika tu!
Sasa Eddy ndo kafa au vipi panga alilopigwa lilimpata au kaokolea
Wallah ningejua inaishia nusu nisingesoma nimekesha usiku nikisoma afu inaishia kati pambaf....