Jamani wana jamii,habari zenu.
Nimekuwa nikifatilia namna ya kuhost website na blogs.
Naomba msaada wenu,mnifahamishe hapa kidogo.
Hivi mtandao kama kupatana ,jamii forum wanafanya dedicated hosting au cloud hosting.
Na ina garim shilingi ngapi ?
Sent using
Jamii Forums mobile app