HOSTEL UDSM

HOSTEL UDSM

CHIRALITY

Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
24
Reaction score
19
Jamani kwa anaejua hostel mpya za Udsm zinaanza kutumika lini maana chuo kimeshafungua
 
Jaman jaaah sasa chuo kimefunguliwa week ya pili hii inaenda badala ulize wenzako unauliza uku

hawa members wapya hawaa wanamatatizo sio siri........

au ulikuwa unajaribu kama na wewe unaweza andika uzi eeee
 
Back
Top Bottom