hostel maeneo ya upanga

hostel maeneo ya upanga

Osama

Member
Joined
May 3, 2011
Posts
61
Reaction score
10
Naomba msaada kama naweza kupata hostel maeneo ya upanga na gharama zake.
 
Studio apartments ziko za kutosha
 
Ni karibu na wapi hapo gama tafadhali nipe maelekezi mazuri kuna ndugu yangu anataka kusoma sasa sehemu ya kuishi ndo mtihani
 
mkuu pale charambe street huwa naona hostel lakini sijui bei zake. labda ufike pale ulize. kuna nyingine pale kitu cha dalada cha aga khan kama unaenda mwenge kuna hostel. fika pale uulize mkuu. mia
 
Ok ahsanteni kwa muongozo kesho ntaingia kitaa kurekebisha mambo
 
Back
Top Bottom