Lumumba ipo 4000 tsh per dayWakuu ningeomba mwenye kujua hostel iliyopo nje ya DIT, iwe karibu. Aweze kunisaidia mawasiano ya mwenye hostel. Nipate jua kama ntapata nafasi!! Shukran
Mbona gali sana!! Wangap kwa room brazaLumumba ipo 4000 tsh per day
Fire ipo laki 1.20 kwa mwezi
Chumba kitakuwa bei gan kaka!! Na kpoje na huduma zake pia!!Mkuu huwezi kupata hostel ya bei rahisi karibu na DIT kwa sababu ya mazingira ya chuo. Chuo kipo eneo ambalo wanaoishi hapo wengi wao wana hela za kutosha, nakushauri tafuta chumba ukapange ili kuokoa gharama sisizo rasimi. Jitahidi kutafuta chumba maeneo ya Magomeni, Temeke/Buza/Tandika/Maduka mawili au Kimara. Haya maeneo yote utaishi kwa ku enjoy.
Nami nimesoma hapo nina uelewa japo kidogo, hostel binafsi zina gharama kubwa sana bora utafute chumba upange tu.
Shukran bro!! Inaeza chukua mda gan kufika chuo kakaMagomen mapipa mpaka room za 50 zpo. .mkiwa wawili mnaweza share gharama. .toka mapipa mpaka DIT sio mbali
Sawa bro!! ShukranKwa mguu kutoka mapipa wastani 30 minutes
Chukua ushauri wa huyu jamaa, usikimbilie hosteltafuta hata kimara Mkuu.
Me nina washkiji zangu wa DIT wanakaa kimara sa hivi mwendokasi faster tu umefika 10min
Hostel zilizobakia DIT ni kwa vijana wa OD's tu, kwa vijana wa B.ENG wanajitegemea.Hostel za chuo laki moja kwa mwaka.... we huzitaki??
ACHA POROJO HOSTEL YA DIT YA CHANG'OMBE NA BLOCK V NI KWA AJILI YA WANAFUNZI WA DEGREE TUHostel zilizobakia DIT ni kwa vijana wa OD's tu, kwa vijana wa B.ENG wanajitegemea.
DIT siyo kama vyuo vingine, chuo hiki kina upungufu mkubwa sana wa hostel
Yah ndio ipo hivyokwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hususani wanao tokea mikoani huwa wanapewa rooms, bachelor mwaka wa1 huwa wanapangiwa chang'ombe kuna block lao moja pale ada ni Tsh. 100,000/= kwa mwaka.
Ushauri: ni bora ukakae hostel za chuo kwa mwaka1/semista1 ili usome mazingira ya Dar then ukapange.
Karibu mjini
si kila mtu na chumba chake? hicho kimoja watua wanachangia angau wawili lkn sio wanne ni wengi sana kama chumba kidogoVyumba vyenyewe ni vidogo na huwa na watu 4 au zaidi