Craig Natson
Member
- Jul 3, 2013
- 80
- 49
Kwani hiyo ipo UDSM mkuu?hakuna wanafunzi vyuoni siku hizi...hostel hazipati wapangaji...
na udsm hostel kibaooooo mpya zimejengwaa.. waliokuwa wana hostel zao wanawapangisha imekula kwao
Luguluni ni wapi?
Upo sahihi mkuuKibamba barabara ya Morogoro baada ya Kituo cha Mbezi Mwisho, then kwa Yusuph na kuendelea mbele
Mkuu umeongea kwel tupu yaan umemaliza tulioko vyuo tumeliona hilo kula tano!hakuna wanafunzi vyuoni siku hizi...hostel hazipati wapangaji...
na udsm hostel kibaooooo mpya zimejengwaa.. waliokuwa wana hostel zao wanawapangisha imekula kwao
Yale ni majengo, sio lazima yawe ni hostel milele.,unaweza Fanya modifications then yakawa ni vyumba vya kupangisha...Biashara ya hostel kwa sasa pasua kichwa kwa mfumo na mzunguko wetu wa hela siku hizi no boom no forgery vyote hivyo vinafanya wanafunzi kupungua
acha kukatisha watu tamaa mbona unakuwa sio mstaarabuhakuna wanafunzi vyuoni siku hizi...hostel hazipati wapangaji...
na udsm hostel kibaooooo mpya zimejengwaa.. waliokuwa wana hostel zao wanawapangisha imekula kwao
na wewe mtu mzima mbona upo humu...vip huna la kufanya??Watoto wadogo maneno meengi. Someni. Acheni ku-comment kila post.
Mamako kaenda Dodoma napita tuna wewe mtu mzima mbona upo humu...vip huna la kufanya??
hee???? heee you who are you inantisha usije kuwa unsnifahamuMamako kaenda Dodoma napita tu