Wakuu msaada kuhusu utaratibu wa kupangiwa hostel za ndan ya chuo kwa wanafunzi wa DIT (level ya degree) ukoje? au nao wanawapa kipaumbele wanafunz wa first year? msaada please

Kama Box lako ni la mkoani uwe mwanamke au mwanaume haukai ndani utakaa hostel za nje zipo chang'ombe karibu na chuo cha duce then kama ni mwanaume mwaka pili hutapata hostel mpaka mwaka wa mwisho na si lazima cuz wanapataga wachache tu ila kama ni mwanamke utapata ndani baada ya kuanza mwaka wa pili mpaka mwaka wa mwisho
Hostel nichache sana sana utaishia kupangiwa block 3 ukae na madogo wa od mwaka wa pili,,,,na block hilo kila room ina vitanda kumi hakuna ulinzi kwahiyo ni tatizo

Suala la Kubebana kwanza ni Kosa Sheria kwa sababu hawaruhusu watu wawili kulala kwenye Kitanda kimoja!.
2) Pili Suala la Kubebana ni maelewano kati ya mtu na mtu yaani Mbebaji na mbebwaji.