Hostep huwa inakuwa karibu na vyup mkuu japo unatakiwa kuwahi.... Sio lazima ukae hostel za chuo kwanza za nje ndio nzuri but kama Unataka kujifunza maisha na kuenjoy challenge kadhaa tafuta mtu mshikane mkono mpange wote aiseh wengi wanaishi wawili chuo namalizia wanafanikiwa kujiwekea vzuri tu