Hospitali ya wagonjwa wa akili - Mental Hosptal Zanzibar, imesahulika?

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
Wizara ya afya imekiri kuwepo kwa tatizo la upungufu wa vizaa na tatizo la utoaji huduma kwa usahili katika hospitali ya wagonjwa wa akili mental.

Kuna uhaba wa wafanya kazi vitendea kazi uchakavu wa majengo na upatikanaji wa dawa.

Mkurugenzi mkuu wa hospitali ya mnazimmoja dr Jamala Adam amesema kutokana hali hiyo seriali inalifanyia kazi tatizo hilo ikiwemo kuenda kusomesha wataalamu pamoja na wanatarajia kujenga jengio jipya la hospitali hiyo kwa kushirikiana na benki ya afrika.

Dr Jamala amewataka wanajamii kutoa ushirikiano zaid kwa familia zao pindi mgonjwa anapotoka hospitali.

Daktari wa Hopitali ya Mental Mariam Hamdu ameiomba serikali kupitia wizara ya afya kuliangalia kwa kina suala hilo ili kunusuru afya za wangonjwa wanaoletwa katika hospitali ya mental.

Chanzo ZANZIBAR BROADCASTING CORPORATION
 
Back
Top Bottom