Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Siku 60 za uongozi wa Magufuli, Hospitali ya wilaya ya Geita imepandishwa hadhi kuwa Hospital Teule ya Rufaa.
Hizo zingine zilizokwisha pandishwa hali ni teteSafi saaaaaaana, aendelee na mikoa mingine, sio kupandisha hadhi tu tunataka na huduma zipatikane pia,
Hilo linawezekana kwa serikali yetuBado Chato kuwa mkoa ndani ya siku 500
Bado Chato kuwa mkoa ndani ya siku 500