nahisi mahakama ya kadhi ikianzishwa wapatandisha garama mtafungua file kwa laki sasa.Zamani watu walikuwa wanaenda tu Bugando hata kama anajisikia homa anataka kupima malaria,siku hizi huwezi kuhudumiwa pale kama huna barua ya rufaa...kwa hiyo wagonjwa wanaelekezwa kwenda Sekou Toure au Butimba...vinginevyo unalipia elfu 20,ili ufungue fail na kuanza huduma za pale
nahisi mahakama ya kadhi ikianzishwa wapatandisha garama mtafungua file kwa laki sasa.
kuna watu washalalamika sana hapa wanadai wakiingia kutibiwa bungando hawapendi kuona misalaba misalaba katika hiyo hospitali na pamoja na kwamba wanatibiwa wanaomba serikali iondoe MOU hospitali zisipate ruzuku kidogo ili zijiendeshe zenyewe zisiwe designated. sasa kwa bei hizo ni kwamba hizo ni designated hospitals kwa maana kwamba serikali imeona haina hospitali ikaziomba hospitali za dini ziwe rufaa kwa kupata ruzuku kidogo. wagonjwa wakitibiwa wakapona wanataka ruzuku hiyo iondolewe, ila wanaongea wakiwa wazima, wakiugua tu wanafumba domo na kukimbilia hospital. sasa si bora iondolewe MOU iwe private kabisa ili watu waende pale na hela ya kushiba kuliko hizo ruzuku za manyanyaso? ndiko tunakoelekea.Sasa mahakama ya kadhi inahusiana vp hapa?
kuna watu washalalamika sana hapa wanadai wakiingia kutibiwa bungando hawapendi kuona misalaba misalaba katika hiyo hospitali na pamoja na kwamba wanatibiwa wanaomba serikali iondoe MOU hospitali zisipate ruzuku kidogo ili zijiendeshe zenyewe zisiwe designated. sasa kwa bei hizo ni kwamba hizo ni designated hospitals kwa maana kwamba serikali imeona haina hospitali ikaziomba hospitali za dini ziwe rufaa kwa kupata ruzuku kidogo. wagonjwa wakitibiwa wakapona wanataka ruzuku hiyo iondolewe, ila wanaongea wakiwa wazima, wakiugua tu wanafumba domo na kukimbilia hospital. sasa si bora iondolewe MOU iwe private kabisa ili watu waende pale na hela ya kushiba kuliko hizo ruzuku za manyanyaso? ndiko tunakoelekea.
andika na wewe kama mtu anaejielewa ma xxxx ndio kiswahili cha wapi hicho acha uboyaKwa hyo na hospitali za kiislam zinaxopata ruxuku zitaondoa maandishi yenu ya kiarabu yale....
Kwanza serikali kiherehere chake tu kuepeleka ruzuku.. Wakristo hatuhawahi shindwa kuendesha taasisi zetu
Mkuu hapo BMC ni wajanja sana.
Walichokifanya ni kuongeza gharama za matibabu.
Kwa mfno kufungua file tu inakadiiliwa kufka 50000/= sasa kwa nn watu wasipungue.
Nmekutana na watu weng wa maisha ya kawaida na ya chini wanadai gharama za Bugando hawazwezi kwa sa iv kwa hyo wanakimbilia Sokoe Toure.
ziko wapi?tukibaguana kidini kuna watu hawatatibiwa hapa tz zaidi ya kwenda kupata panado kwenye vihospitali vya seirkali.Kwa hyo na hospitali za kiislam zinaxopata ruxuku zitaondoa maandishi yenu ya kiarabu yale....
Kwanza serikali kiherehere chake tu kuepeleka ruzuku.. Wakristo hatuhawahi shindwa kuendesha taasisi zetu
Nimeshinda hapa BMC idadi ya wagonjwa imepungua na kwa makadiridio ni kama wagonjwa wanaotibiwa hapa ni 50percent. Mwenye kufahamu sababu ni nini haswa.
Kuna hospitali ya dini ya ndevu nying hii nilienda nikaambiwa kabisaa hatuhudumii makafiri... Ahahahahah hawa jamaa hawa lohhhhhh