uwesuporoto
Senior Member
- Jun 2, 2017
- 116
- 58
Sifahamu
SantePole mkuu subiri wanakuja wataalam
Hiyo syphilis ni nini? Maelzo kama hautojaliPima syphilis
Wakati najiunga na jamiiF niliambiwa kuwa kuna madokta pia. Sijui na wewe humo??Yapige chini au yatabishe makoloni yako yotee na ujitibishe upya, otherwise hauta pona!
Syphilis ndo Kaswende.Pima syphilis
Sawa. Nipe muda kidogo maana niliviweka mbaliSyphilis ndo Kaswende.
Kwa maelezo ya mdau atakuwa ana kaswende. Namshauri aweke pic ya cheti cha matibabu tumshauri vzr.
Huu ugonjwa ukiachwa muda mrefu husababisha matatizo ya ini, moyo, mifupa nk so ni vzr ukatibiwa vizuri!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata nilipokwenda hispitali kwa mara ya kwanza dokta alaniambia kuwa nina kaswende pia.Syphilis ndo Kaswende.
Kwa maelezo ya mdau atakuwa ana kaswende. Namshauri aweke pic ya cheti cha matibabu tumshauri vzr.
Huu ugonjwa ukiachwa muda mrefu husababisha matatizo ya ini, moyo, mifupa nk so ni vzr ukatibiwa vizuri!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaswende aka syphilis ni ugonjwa mbaya.Akapime kipimo cha VDRL na kama ikibainika ana kaswende achome shindano za penicilin yeye na mkeweSyphilis ndo Kaswende.
Kwa maelezo ya mdau atakuwa ana kaswende. Namshauri aweke pic ya cheti cha matibabu tumshauri vzr.
Huu ugonjwa ukiachwa muda mrefu husababisha matatizo ya ini, moyo, mifupa nk so ni vzr ukatibiwa vizuri!
Sent using Jamii Forums mobile app
Gonjwa la zinaa aka syphilisHiyo syphilis ni nini? Maelzo kama hautojali
https://www.facebook.com/Syphilis ndo Kaswende.