S Shmy Senior Member Aug 3, 2012 148 55 Jan 12, 2016 #1 Naulizia hospitali ya private yenye kutoa huduma nzuri lakini bei zake ni nafuu maeneo ya Dar. Je kipimo cha ultrasound kinagharimu kiasi gani. Last edited by a moderator: Jan 13, 2016
Naulizia hospitali ya private yenye kutoa huduma nzuri lakini bei zake ni nafuu maeneo ya Dar. Je kipimo cha ultrasound kinagharimu kiasi gani.
E establishment JF-Expert Member Jun 27, 2015 1,632 2,435 Jun 5, 2019 #2 Private halafu ikiwa nafuu huduma lazima ziwe Kiwango Duni (KIWADU)