Hospital za Rufaa

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
400
Reaction score
472
Salaamz

Leo nimebahatika kutua kwenye makao makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro,panqitwa Moshi mjini.

Nimeshangazwa Sana hasa baada ya kutembelea hospital ya Mawenzi (hospital ya rufaa)!!!? Kilichonishangaza zaidi ni kuwa nimeshuhudia wahudumu wakifua mashuka na vitambaa (sijui Kama ni nguo) kwa kutumia mikono badala ya mashine,hivi kweli mkoa au wizara husika,wameshindwa kununu mashine ya kufulia?

Naona Kama Kuna utata au tatizo la kiuongozi,jamani,uongozi wa mkoa hebu wahurumieni wahudumu hawa na wagonjwa maana malalamiko yao wameshindwa kuyatimiza

Wana Kilimanjaro,poleni.
 
Acha umbea ,wewe ndo umefika Kilimanjaro, direct unaenda Wash room ya Hospitali?

Matako kabisa, umeshindwa kutuliza matako yako kwenye ibada ya Mzee Mengi wewe unaenda kutafuta umbea kwenye Hospitali za watu

Bila shaka umeachika kwa mmeo
 
Umenikumbusha jamaa ambaye anapiga kavu kavu ila anaogopa sana kunywa maji ya bomba yasiyochemshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…