Huhu ni mfumo wa kieletronic wa hospitali,mfumo huo umetengenezwa na sow technologies na unapatikana kwa bei nafuu kabisaaa karibuni sana.Na hiyo ni demo video ya mfumo huoHii ni nini?,weka nyama basi wadau tukuelewe
nimekutumia private messageGharama yenu ni sh ngapi?
Nimeiona mkuu. Asantenimekutumia private message
Absolutely correct,karibu sana hiyo ndo shughuri yangu natengenezaJe kama nataka system nyingine tofauti na hiyo mna uwezo wa kutengeneza?
ahsante kwa ushauriSio wote watafungua hiyo video, ingawa nimeiona umejitahidi kuelezea. Nakushari chukua screenshot kwa kila kipengele muhimu halafu ui upload hapa na maelezo mafupi for better marketing