Mwanasheria hana shida ila mmesahau kwenye usajili mme mrudisha Magori ambaye ni Version ya zamani kabisa katika mpira wa kisasa.
Yeye Magori Bado ana amini katika mfumo wa kizamani wa timu kubwa Simba na Yanga kubebwa na Tff katika migogoro ya wachezaji wa timu ndogo.
Kwa namna Simba ilivyo ingia kwenye migogoro ya kupora wachezaji wenye mikataba na kuwachezesha inakiwa watandikwe rungu na Tff ni mambo ambayo kwasasa ni Ngumu kutokea uko Duniani.