Hose ya yamaha ag200

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Wadau natafuta hose(kiunganishi cha kabureta na engine) ya pikipiki yangu tajwa hapo juu. Nimejaribu kuitafuta Moshi bila mafanikio. Mwenye idea jinsi ya kupata spea anijulishe.
 
Wakuu naombeni msaada tafadhalh
 
Wadau natafuta hose(kiunganishi cha kabureta na engine) ya pikipiki yangu tajwa hapo juu. Nimejaribu kuitafuta Moshi bila mafanikio. Mwenye idea jinsi ya kupata spea anijulishe.

Nenda Toyota Tanzania wako
barabara ya nyerere karibu na Jamana Printers! Hawa ni authorized dealers wa magari ya Toyota na pikipiki za Yamaha! Spea zote za pikipiki za Yamaha utapata pale
 
Asante sana mkuu, nitaenda huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…