Hope Channel inapatikana king'amuzi gani?

Ndigwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
210
Reaction score
60
Kichwa hapo juu chahusika, kwa anaejua tafadhali anijuze king'amuzi (decoder) kinachoonesha Hope Channel.
 
ipo ting mkuu hichi king'amuzi kama mtaalamu wa ujazaji channel basi utapata hata ambazo hukutegemea kupata bureee bonge la king'amuzi kama wewe mtaalamu
 
nasikia ting ina 'scratch scratch', halafu customer care yao ipo poor sana.
 
Ipo kwenye dish la ft sita pale inapopatikana emanuel tv tena ina signal yakutosha
 
Back
Top Bottom