Habari zenu wadau? kuna mtu anafaham hizi bachelo degree zenye hons zinavyopatikana? ni kwa sifa zipi mwanazuoni ana qualify kupewa hizi bachelor zenye hons?? k.v LLB(hons.), BBA(hons.) n.k
kuna baadhi ya vyuo kama hujawahi kula supplementary unakula hons...kuna vungineunatakiwa ufaulu wako uwe unapanda tuu usishuke hata point moja mf; semester1 gpa3.5. Sem2 gpa3.7 sem3 gpa3.8 (ziwe zinapanda tu )
Kwa sasa kila mtu anapewa hons nmeexperience from udsm transcript 2012,mtu ana gpa 3.1,keshakula sup kibao na bado ana hons(nimesikia baada ya miaka50 ya udsm ndo walianza ivyo