Hongereni wamiliki wa TV stations East Africa

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,874
7,650
Nimeamka alfajiri nika-tune EATV nikakutana na nyimbo nzito nzito za Injili, nika tune Channel ten nikakutana na Nyimbo za Injili na vibwagizo vya Mama Lwakatare.
Nikahamia TBC1 nako nikamkuta mke wa mzee wa Upako bi Happiness Ngasala akiongoza kumwaga maupako kwa njia ya uimbaji, nikahamia K24 huko ndio balaa, panga pangua za nguvu!
KBC na UBC nako kama waliambiana! Mondo juu ya nondo! Nikahamia NTV Kenya na NTV Uganda, aisee ni kububujika na Yesu tu. Nikarudi Clouds TV, yani jamaa ni kama walokole.... Rwanda Television nayo haikubaki nyuma.Hivi sasa natazama K24 kipindi kinaitwa The Switch! Aisee ni hatari. Nilijaribisha Imaan TV nilikuta lugha inayozungumzwa siielewi elewi nikaachana nayo.
Nawapongeza wamiliki wa Vituo vya TV East Africa kwa kuitendea haki siku ya Jumapili. 99% mmemtukuza Yesu. Mbarikiwe sana.
 
Inaonekana shetani amekukaa ndio maana ulihangaika kutafuta Chanel ambayo haizungumzii utukufu wa yesu na Mungu baba lakini bahati mbaya shetani wako alikamatwa kila channel uliyoenda ulikutana na yesu aliye hai siku nyingine ukiamka kabla haujawasha TV nenda kwanza kanisani umesikia wewe dogo
 
Huna cha kusifia wala nini.. Udini tu umekujaa.. Umeanza vizuri ukaharibu mwishoni..
 
Back
Top Bottom