Tangu jana naona maada nyingi ni kuwaponda, mimi kwa jinsi nijuavyo wadada wengi wa Arusha ni watafutaji na si tegemezi kama mikoa mingine kama Dar na hata ukikuta huko mchachalikaji asili yake itakua ni Arusha au Moshi.
Sasa kama unakuja Arusha kifalafala na unataka ugegede bure halafu ukache, shida
wanaume hasa Dar wamezoea kulelewa, siku hizi hakuna zali la mentali tafuta hela.
Kwani wanawake matapeli hata ulaya wapo.
Mbona mimi sijawahi tapeliwa, hata kama ikitokea kwa mijini ni kawaida ila kuwa mjanja.